Jumatatu , 11th Oct , 2021

Ni utani wa mchekeshaji Idris Sultan kwa msanii Alikiba baada ya kusema alikuwa anakera tabia yake ya kuachia ngoma moja kwa kipindi cha muda mrefu, pia amesema msanii huyo haeleweki kwani anaweza akasema kesho anataka kuoa tena.

Picha ya Idris Sultan kushoto, kulia ni Alikiba

Zaidi mtazame hapa Idris Sultan akimzungumzia Alikiba.