Jumamosi , 7th Mei , 2022

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Matiko Mniko amemshauri Diamond Platnumz na Zuchu kufanya marekebisho ya video yao ya Mtasubiri ambayo imefungiwa na TCRA na BASATA.

Kaimu Katibu Mtendaji BASATA Matiko Mniko kushoto, kulia ni Diamond Platnumz na Zuchu

Matiko Mniko anasema video yao itaruhusiwa na kuendelea kuruka hewani endapo wakifanya marekebisho.

Interview nzima na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Matiko Mniko akizungumzia kufungiwa kwa video ya Mtasubiri.