Jumanne , 11th Jan , 2022

 Msanii TID 'Top in Dar Mnyama' ameshea maoni yake kuhusu muziki kwa kusema waimbaji wengi wa sasa wanagezana jinsi ya kuandika mashairi kitu ambacho ni kibaya sana.

Picha ya msanii TID

"Waimbaji wengi wa sasa wanagezana kuandika maishiri, mashairi wanaondika wao sasa hivi hayasaidii kudumisha tamaduni zetu na jamii ili kuelimisha kuasa na kuburudisha".

"Watu wamekua wakichochea ngono na kudhalilisha wanawake sidhani kama tutaachia urithi mzuri vijana wetu".