Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Spack afunguka kuhusu kurogwa na kutapeliwa

Jumanne , 13th Jul , 2021

Msanii na hitmaker wa ngoma ya 'nipe ripoti' aliyofanya na Captain Tundaman, Spack Tz amefunguka ukweli kuhusu stori zilizokuwa zinasemekana kwamba amerogwa na ametapeliwa kwenye muziki.

Picha ya msanii Spack Tz

Spack amesema kuna maneno mengi yamezungumzwa kuhusiana na yeye kipindi ambacho amekaa kimya kwa muda mrefu ila binafsi hajawahi kukaa na jambo  rohoni mwake.

"Kuna maneno na mambo mengi yamekuwa yakiendelea lakini binafsi sijawahi kuweka kitu katika roho na kama kuna vitu vingine nyuma sikuvijua, maneno hayo nimeyasikia ila sijamuona wa kumuhukumu

"Binaadam wa kawaida hana nguvu ya kustopisha yanayoendelea kwamba nisisemwe, kama kuna mtu anasema nimerogwa ni yeye atajua mwenyewe yote kwa yote najijua kama nipo" ameeleza msanii Spack 

Interview nzima bonyeza hapo chini kutazama.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi