Jumatano , 14th Jul , 2021

Baada ya ukimya wake kuhusishwa na migogoro kati yake na wasanii wenzake waliokuwa wakiunda lebo ya Tip Top Connection Tunda Man na Madee, na  msanii Spack amefunguka mahusiano yake yalivyo hivi sasa.

Picha Msanii Spack

Kwenye interview hapa East Africa Radio/Tv na Digital Spack amesema kuwa hana tatizo na mtu yeyote kutoka katika lebo yake ya zamani ‘Tip Top Connection’ na hata hao wasanii aliokuwa akihusishwa nao kwenye migogoro na mambo mengine yupo nao sawa.

Sikiliza Interview yote hapa