Picha ya msanii JB
JB anasema anachojua yeye ni kuhusu tuzo za bodi ya filamu Tanzania ambazo zinaenda kufanya kwa mara ya 3 mfululizo baada ya kutangazwa rasmi siku Oktoba 31.
"Sijui hata kama kuna mechi, ninajua kama kuna tuzo kuhusu mechi sifahamu. Nipo Jerusalem Films kazi yangu ni sinema" amesema JB.