Christina Shusho Kikaangoni
Christina Shusho alisema hayo kupitia kipindi cha Kikaangoni ambacho kinaruka kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi jioni kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
"Sijakutana nalo tatizo la njaa hivyo siwezi kulizungumzia, sijaona njaa kwani mimi naishi maisha niliyozoea kuishi siku zote" alisema Christina Shusho
Mbali na hilo Christina Shusho amesema yeye hana mpango wa kuja kuwa mwanasiasa na siku zote yeye huwa wanatoa support kwa kiongozi ambaye yupo madarakani kwa wakati huo kwani anaamini hawezi kuwa na marais wa wili kwa wakati mmoja.