Msanii wa miondoka ya Bongo Fleva nchini Afande Sele
Afande Sele amesema kuwa, sanaa ya muziki ambayo kwake anaichukulia kama mke mkubwa, imeifungua milango kwa mke mdogo ambaye ni siasa, katika mwaka huu wenye harakati nyingi zaidi, ujio wake mpya kisanaa ukitarajiwa kuanzia mwishoni mwa mwezi wa pili.