muigizaji nyota wa filamu nchini Kenya Lupita Nyong'o
Nyota huyo amesema kuwa sababu hasa ya kunyoa nywele zake ni kuchoshwa na muda wa kwenda kusuka nywele salun na pia kuchoshwa kuwatembelea wataalamu wa masuala ya nywele akielezea zaidi kwamba hapendi kutumia make up ya aina yeyote hata akiwa kwenye hafla za zulia jekundu.