Picha ya msanii Roma Mkatoliki
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Roma ameandika kwamba
"Tunapofiwa/kupata matatizo yanayopelekea mkafika nyumbani kwetu, please fikeni na mshiriki kwenye matatizo hayo tu mkimaliza mrudi makwenu salama".
"Haya mambo ya kwanini hujajenga kwenu, sijui muoneni ana-ball tu town ila kwao hajajenga hayawahusu, town kila mtu ana mipango yake bana".