Jumatatu , 10th Mar , 2014

Rapa Roma Mkatoliki ambaye siku ya leo ameachia rasmi ngoma yake ya KKK ambayo ndio ujio wake wa kwanza mwaka huu, ameongea na eNewz akisema kuwa wimbo huo uliofanyiwa kazi kupitia Tongwe Records ni wimbo ambao ni wa aina yake kwa ajili

Roma ameweka wazi kuwa pamoja na picha ya cover ya kazi hii mpya kuonyesha akiwa kama mchungaji haimaanishi kuwa ameamua kuwa mchungaji bali ni ubunifu tu alioamua kuutumia katika sanaa.

Msanii huyu amekutana na eNewz leo hii na kuzungumza kidogo kuhusiana na kazi hii na ujumbe ambao ameamua kuufikisha kwa jamii, na hapa anasema mwenyewe.