Kulia picha ya Rick Ross upande wa kushoto ni Jada Pinkett na Tupac Shakur
Rick Ross amemwambia Jada Pinkett kuwa amuache Tupac Shakur apumzike kwa sababu tayari ameshafariki Dunia.
Jada Pinkett ali-trend mitandaoni kupitia interview zake alizofanya akimtaja Tupac Shakur kwamba aliwahi kuwa 'Soulmate' wake na alitaka kuolewa naye.