Jumanne , 9th Apr , 2024

Ni headlines za staa wa muziki Nigeria Rema akionesha kuchukizwa na kuondoka stejini kwa sababu ya issues za sauti.

Picha ya mwanamuziki Rema

Kupitia video hii Rema akianza kuimba Hit yake ya Calm Down amesikika akisema

“Kuna issues nyingi za sauti inaharibu performance yangu yote sitaweza kumaliza yote, nawakilisha Africa na Afrika ipo ndani ya nyumba na unaharibu nitaondoka”

Baada ya maneno hayo Rema akawaaga mashabiki zake na kuondoka stejini akisema “Kuna issues nyingi za sauti watu wangu, nawapenda usiku mwema”.