Alhamisi , 19th Jan , 2023

Jionee michano ya wasanii wa HipHop ambao wame-make headlines kwa sasa Rapcha na Dizasta Vina walivyopita kwenye Dakika 10 za maangamizi ya Planet Bongo ya East Africa Radio. 

Kushoto ni Dizasta Vina kulia Rapcha

Rapcha na Dizasta Vina wapo 'Trending' baada ya kutupiana maneno kwenye Diss Track zao.

Zaidi bonyeza hapo chini kuona walichokifanya kwenye Dakika 10 za maangamizi.