Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Q-chief hawezi kulala kwangu - Bushoke

Jumanne , 19th Jun , 2018

Msanii Bushoke ambaye aliwahi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongofleva katika kipindi cha nyuma amefunguka na kukana taarifa za yeye kumuhifadhi Q-chief na kudai wapo watu wanaoweza kukosa sehemu ya kulala lakini sio swahiba wake huyo.

Bushoke ameeleza hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuwepo fununu kuwa Q-chief tokea alipoachana na mpenzi wake hakuwa na sehemu maalum ya kulala hivyo maisha yake yakawa ya kutanga tanga na ndipo swahiba wake huyo alipomchukua na kumpa hifadhi katika nyumba yake.

"Q-chief hajawahi kukaa kwangu yaani hana shida, na ikitokea kaja kwangu basi anakuja kupiga stori tu na sio kwamba ana shida ya kulala. Kuna watu wa kawaida duniani hawawezi kukosa sehemu ya kulala kwa hiyo Chillah hawezi kukosa ni maamuzi yake tu kulala anapopataka maana anaweza hata kwenda kulala Nairobi nchini Kenya kwenye hoteli kubwa", amesema Bushoke.

Mtazame hapa chini Bushoke akifunga zaidi 

 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali