Jumatatu , 1st Aug , 2022

CEO wa lebo ya Next Level Music Rayvanny amekubali kufanya kazi na PNC Shino baada ya PNC kuweka wazi kutamani kufanya naye kazi kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa TV.

Picha ya msanii PNC Shino kushoto kulia ni Rayvanny

Rayvanny alijibu hilo kwenye comment kwa kuandika "Shino style let's do it my brother".

Kuanzia sasa tegemea kuona kazi mpya ya PNC Shino akiwa na Rayvanny.