Picha ya mwanamuziki Wizkid
Kupitia post yake mtandao wa X, staa huyo wa muziki Africa Wizkid ameandika “Pesa haiwezi kununua upendo/mapenzi”.
Post hiyo ya Wizkid imebua gumzo mitandaoni ambapo kila mtu anatoa comment yake ya anachokiamini kati ya pesa na mapenzi.