Ijumaa , 15th Jul , 2022

Mr PKP Ommy Dimpoz ameshea video hii akionekana akiongea na mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva baada ya kushinda kesi ya madai ya stahiki zake kutoka Klabu ya Wydad Athletic Club ya nchini Morocco.

Picha ya msanii Ommy Dimpoz kulia, kushoto ni Simon Msuva

Msuva anatakiwa kulipwa Tsh Bilioni 1.6 na klabu hiyo aliyokuwa akiichezea na hatakiwi kulipwa kwa mafungu mafungu.

Zaidi tazama hapa kwenye video.