Nuh Mziwanda na Shilole
Nuh amesema kuwa, kwa msanii kusimamisha meneja inahitaji pande zote mbili zinafaidika, akiweka bayana changamoto anazokumbana nazo za kuendesha muziki wake peke yake, ikiwepo kuchoka sana na kushindwa kupata wazo la kufanya muziki mpya.
