Jumatatu , 27th Apr , 2015

Staa wa Muziki Nikki Wa Pili ametoa mtazamo na ushauri kwa wasanii, hususan wale wanaofanya muziki wa Bongo Flava, kufahamu vizuri aina ya muziki wanaofanya ili kudumu na kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi.

msanii wa muziki wa kundi la Weusi nchini Nikki wa Pili

Kwa mujibu wa uchambuzi wa Nikki, amesema Msanii anapokuwa hafahamu aina ya muziki anaoufanya, kama kazi nyingine yoyote ile bila dira, ni rahisi kupotea ndani ya kipindi kifupi tu, kama anavyofafanua mwenyewe hapa.