Nikki Mbishi
Nikki amewaangazia mashabiki wake mpango wake huu kupitia ukurasa wake rasmi wa twitter, akionesha kukasirishwa sana na mfumo mbovu wa sanaa hiyo hapa nchini.
Kuhusiana na kile ambacho rapa huyu ameandika twitter leo;
Rapa Nikki Mbishi ametangaza kuziachia ngoma zake zote ambazo hazijatoka bila gharama yoyote kwa mashabiki wake na kutoingia studio tena kurekodi kazi mpya, akimaanisha kuwa ameamua kuachana na muziki.