Alhamisi , 19th Nov , 2015

Staa wa Muziki Nikki Mbishi ametoa kauli ya hisia kukanusha kulenga mtu ama kundi fulani kupitia lawama zake za Muziki wa Hip Hop na Wana Hip Hop halisi kutawaliwa na mtu mmoja kutokana na mfumo uliopo.

Staa wa Muziki wa Hip Hop Nikki Mbishi

Nikki ameeleza kuwa, lawama zake zinaelekezwa katika kudumaa kwa maendeleo ya sanaa kwa ujumla, binafsi akiona kuna haja ya kubadili mfumo kama anavyeleza mwenyewe hapa.