
Picha ya Jay Z
“Kuwa stejini kuperforme Super Bowl sijajua, nahisi itakuwa ubinafsi kujichagua mwenyewe. Ni mapema sana labda mwaka mmoja” amesema #JayZ kupitia Entertainment Tonight.
Super Bowl Halftime show ya mwaka huu 2024 itatumbuizwa na Usher Raymond. Pia rapa Lil Wayne ametangaza kutamani kuperforme show hiyo mwaka 2025.