Ijumaa , 25th Jun , 2021

Mwezi Juni ndicho kipindi ambacho wasanii wengi wa Bongo Fleva, Hip Hop na RnB wameachia Extended Play (EP) yingi zaidi ukilinganisha na miezi mingine katika mwaka wa 2021.

Picha ya msanii Nandy (kushoto), Ibrah Nation (katikati) na Dayna Nyange (kulia)

Mpaka sasa zaidi ya EP’s 5 tayari zimeingia sokoni huku bado nia na kiu ya wasanii wengi ni kubwa kuendelea kuachia kazi zao kabla mwezi huu kutamatika.

1.Nandy -  Taste (Juni 3)
2.Dayna Nyange – Elo (Juni 17)
3.Ibrah Nation – Addicted (Juni 4)
4.Belle 9 – Baba Boss (Juni 9)
5.Izzo Bizness – The Carpricon (Juni 24)