Ijumaa , 15th Jul , 2022

The African Princess Nandy amefanyiwa surprise ya kupewa hundi ya benki yenye thamani ya Tsh Milioni 106 kama kianzio cha maisha yake mapya ya ndoa na mume wake mtarajiwa Billnass.

Picha ya Billnass na Nandy

Tukio hilo limefanyika kwenye Send Off Party yake jana usiku ikiwa imeuhudhuriwa na mastaa na wageni wengine waalikwa.

Billnass na Nandy watafunga ndoa siku ya kesho Jumamosi pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza siku zijazo.

Zaidi tazama hapa tukio hilo la Send Off ya Nandy