Jumamosi , 7th Mei , 2022

Achana na Maua Sama kueleza kuwa hakuna aliyewahi kutokea mwenye sauti kama yake kwenye kuimba, amefunguka kingine baada ya kuweka wazi kumkubali Alikiba akisema anampenda mpaka anampenda.

Picha ya Maua Sama na Alikiba

Maua Sama amemjibu shabiki aliyemuuliza kuhusu uwepo wa collabo yake na Alikiba na akajibu kwamba 

"Kabisa nampenda, nampenda mpaka nampenda tena". 

Ni msanii gani wa kiume/kike unamkubali zaidi?