Jumatano , 13th Jul , 2022

Kwa mingi mingi labda ulikuwa hujui maana ya jina la msanii wa HipHop Motra The Future kupitia Documentary yake mpya ya Since Day One ametusanua kuwa maana ya jina lake ni zaidi ya rapa "More Than Rapper".

Picha ya rapa Motra The Future

"Watu wengi wamekuwa wananijua kama Motra lakini hawajui maana ya Motra, nimekuwa nikipokea request nyingi sana kutoka kwa watu wangu ambao wananikubali, Motra maana yake ni More than rapper, zaidi ya kila kitu". amesema Motra The Future