Jumatano , 13th Jul , 2022

Msanii wa filamu Yusuph Mlela amesema kuwa yeye ndio 'Role Model' wa vijana wengi wanaochipukia kwenye uigizaji kwa sababu amewa-inspire kufanya filamu na kuwashauri pia.

Picha ya Yusuph Mlela

"Kwa hawa vijana wanaokuja sasa hivi nimewa-inspire wengi sana, ukiangalia asilimia nyingi nimewafanya kuingia katika game na mimi ndio Role Model wao, kwangu ni kitu kizuri kuna muda nakutana nao nawapa ushauri".

Pia Yusuph Mlela amesema tasni ya filamu bado inahitaji watu wengi kwa sababu waliopo ni wachache.