Alhamisi , 28th Mar , 2024

Kwa mujibu wa member wa Migos Offset anasema kundi lao ni la pili kwa ubora kwenye muziki wa HipHop baada ya kundi la Outkast ambao amewapa nafasi ya kwanza.

Picha ya Migos

Offset anasema anaheshimu makundi mengine ya HipHop kama WU-Tang Clan na N.W.A lakini yatafuata baada yao kwa sababu makundi mengi yameshakufa na kupotea.

Rapa hao wanaounda kundi la Migos ni Offset, Quavo na Marehemu Take Off.