Jumamosi , 23rd Aug , 2014

Kutokana na kuwepo kwa mjadala mkubwa kuhusiana na swala la Muungano wa nchi ya Tanzania kwa sasa, wasanii wa muziki Melone na Mo Brigt wameamua kutengeneza ngoma ya pamoja ambayo ina lengo la kuhamasiha watanzania kudumisha muungano.

Melone

eNewz imeweza kukutana na Melone ambaye amefafanua kwa kirefu kuwa, kazi zake za muziki ikiwepo hii ya muungano zimejikita katika kuhamasisha maswala ya Uzalendo na Amani kwa taifa, na hapa anazungumza.