Jumatano , 11th Mei , 2022

Msanii Mbosso Khan kutoka WCB amefunguka maoni kuhusu furaha ya mtu kuwa na wapenzi wanne kwa wakati mmoja.

Picha ya msanii Mbosso Khan

Mbosso ameeleza kwamba mtu ukiwa na mpenzi mmoja anakupa furaha vipi ukiwa na wapenzi wanne kwa wakati hizo furaha zake.

"Ukiwa na mpenzi mmoja anakupa furaha, imagine ukiwa na wapenzi wanne haya mafuraha yake sasa".