Jumanne , 6th Feb , 2024

Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio mwanamuziki wa lebo ya WCB Mbosso ameshea kitu anacho-miss Yamoto Band 

Picha ya Mbosso

“Na-Miss lifestyle Yamoto Band, kukaa pamoja na tulikuwa na maisha yetu ya kiswahili kitu ambacho mimi mpaka leo naishi. Tulikuwa na DSTV ndani lakini tunaenda kibanda umiza, Mimi na Aslay wote ni Simba na Chelsea wale wenzetu sio watu wa mpira”.

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.