Jumanne , 7th Jun , 2022

They call him Toto Bad Marioo ameeleza kuwa ngoma ya yake ya Mama Amina imempa nguvu kubwa kwenye mziki yake kwa sababu alifanya kwa gharama kubwa na ilifanya vizuri.

Picha ya msanii Marioo

"Hii ni moja kati ya project iliyonipa nguvu na moyo wa kutokuogopa na kuwekeza kwenye Mziki wangu kwa ajili ya Taifa maana hizi collabo na hii video nilifanya kwa gharama kubwa sana na goma likaja likalipuka" ameandika Marioo