Ijumaa , 10th Jun , 2022

Msanii na shabiki wa Yanga Madee Seneda ameshauri kitu kuhusu uchaguzi mkuu wa Klabu ya Yanga wa kupata Rais wa Klabu, Makamu wa Rais na wajumbe watano wa kamati ya Utendaji.

Picha ya msanii Madee akiwa na jezi ya Yanga

Ujumbe wa Madee kuhusiana na hilo unaeleza kuwa "Mpira wa sikuhizi unachezwa zaidi na vijana na unatakiwa uongozwe na vijana (Uchaguzi Yanga)".

Zaidi tazama hapa kwenye video.