Jumamosi , 29th Mar , 2014

Mabeste, Msanii mkali wa muziki hapa Bongo, akiwa na mzigo mpya, ngoma inayokwenda kwa jina Headache, amesema kuwa, kazi hii ni kisa cha kweli ambacho kimamhusum mtu wake wa karibu ambaye hakuwa tayari kumtaja jina lake.

Mabeste

Mabeste ameongea na eNewz kuhusiana na kazi hii ambayo pia imekuja tofauti na kazi ambazo rapa huyu amekuwa anafanya, ambapo haya ndiyo maelezo yake kwa mashabiki wa kazi zake.