Jumatatu , 16th Nov , 2015

Baada ya kipindi kirefu cha ukimya kuto staa wa muziki Mabeste alipotangaza nia yake ya kurasimisha mahusiano yake na Lisa Karl, mama mtoto wake, staa huyo ametangaza kuwa, mpango huo wameamua kuukamilisha mwaka ujao.

staa wa muziki Mabeste akiwa na mchumba wake Lisa Karl

Mabeste ameeleza kuwa, mahusiano yao yanatambulika kisheria, wakiwa na mpango wa kufanya harusi mwezi wa nane mbele ya mashahidi ndugu na familia, na hapa anaeleza zaidi juu ya hilo .