Lisa na Mabeste
Lisa ameelekeza shukrani zake kwa vyombo vya habari pia kwa kuwafikishia watanzania na wasamaria wema taarifa za kuugua kwake, na kila ambaye amejitolea kwa namna moja ama nyingine ili kusaidia apate matibabu, kama anavyoeleza hapa.
Baada ya kipindi kigumu cha kuugua, hatimaye mke na meneja wa staa wa muziki Mabeste, Lisa Karl amezungumza na watanzania kuwashukuru kwa michango na sapoti yao mpaka kufika sasa ambapo hali yake imekuwa na unafuu akiwa anaendelea vizuri na matibabu.