Abbas amesema haya akihusisha hatua ya Bamboo kutangaza kuokoka hivi karibuni, hatua ambayo bado inazua wasiwasi mwingi kutokana na matendo yake, na vile vile, hatua ya msanii huyu kutangaza kufa kwa kundi la K-South.
Abbas amesema kuwa, Bamboo amekuwa anafanya mambo ya kitoto na amekuwa msanii ambaye hana malengo, kitu ambacho kimesababisha wao kushindwa kuendelea kufanya kazi pamoja.