Alhamisi , 12th Jun , 2014

Msanii Shettah a.k.a baba Qylah wa Bongo akiwa moja kwa moja kutoka Durban Afrika Kusini, ameweka wazi mzigo wa zawadi kubwa kutoka kwake hivi karibuni, video ya ngoma yake ya Kerewa akimshirikisha Diamond Platnumz.

Msanii wa Bongo Shettah

Video hii ambayo inakuwa ni ya gharama zaidi kuwahi kufanyika katika historia ya muziki wake, imeongozwa na Godfather, muongozaji ambaye ana rekodi ya kufanya kazi na mastaa wakubwa kabisa Afrika, wakiwepo P Square.