Jumapili , 11th Dec , 2022

Staa wa filamu Bongo Kajala amemjia juu msanii Baba Levo baada ya kuandika ujumbe uliomlenga kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na msanii Harmonize.

Picha ya Kajala na Harmonize, kulia ni Baba levo

Zaidi tazama hapa kwenye video kuona Kajala alichomjibu Babalevo.