Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

JB awachana wakina Gabo na Duma

Jumamosi , 16th Sep , 2017

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen 'JB amefunguka na kuwachana Gabo Zigamba pamoja na Duma kwamba njia pekee ya kufahamika ni kupitia kazi zao wanazozifanya na wala siyo masuala ya ugomvi baina yao.

JB amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV, baada ya msanii Duma kutoa kauli yake iliyokuwa inamponda Gabo siku za hivi karibuni kwa kudai hana muonekano wa kuwa 'star' kwa maana anarudi nguo kuvaa katika 'show' zake, pamoja na kuwa ndiye chanzo cha tasnia ya filamu kulega lega kwani ameaminiwa na watanzania wengi lakini ameshindwa kuwatendea haki mashabiki zake jambo ambalo likazua mada ndefu katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

"Vijana wana njia nyingi za kulishika soko si unajua tena ujana, lakini sidhani kama wataweza kuleta madhara ama wakagombana kwa kitu kama hicho. Tupo wazee tutahakikisha hawafiki huko, kwa hiyo wapenzi na mashabiki zao wasiwe na wasiwasi", amesema JB.

Pamoja na hayo, JB amesema moja ya kazi ya wazee kuwepo katika tasnia ya filamu ni kuhakikisha amani inapatikana kwa vijana hivyo atahakikisha kila kitu kitaenda sawa kwa vile yeye bado yupo.

"Kwenye 'movie' muda mrefu tumekuwa kimya sana lakini kama wao wameamua kuchangamsha soko kwa kutumia njia hiyo ni sawa, ila nawakumbusha pia 'the best way' ya wao kufahamika ni kupitia kazi zao wao wenyewe maana sisi tunaenda ku-staff, hii ni nafasi yao sasa ya kufanya vizuri na kutambulika kupitia kazi zao. Gabo ni mmoja katika ya waigizaji bora tuliyokuwa nao na Duma ni muigizaji mzuri tuliyokuwa nao wanaweza wakawa wanafanya vituko vyao huwezi kuwazuia kwa sababu miaka yao inawaruhusu", amesisitiza JB.

Mtazame hapa chini msanii Jacob Stephen 'JB akitoa maneno yake ya busara kwa vijana wake wa bongo movie.

HABARI ZAIDI

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu