Siri hiyo imewekwa wazi kwenye FNL ya East Africa Television, baada ya kijana aliyejitambulisha kwa jina la Silas, kukiri kuwa amewahi kufanya mapenzi na Amber Ruty hivi karibuni.
Silas amesema taarifa hizo ni za ukweli na wala sio kiki, licha ya kwamba ukweli wake umemletea matatizo makubwa ikiwemo kupigwa na Amber Ruty mbele za watu.
Itazame hapa