Alhamisi , 14th Oct , 2021

Wakati tukiendelea na maadhimisho ya sikukuu ya Mwl.Nyerere, mchekeshaji na msanii wa filamu nchini Idriss Sultan, hii leo ameendelea kukumbushia mpango wake wa kuchukua tuzo ya Oscar huku ambapo ameweka wazi kuwa tuzo hiyo ataichukua kupitia filamu mpya ya Mwalimu.

Picha ya Mwigizaji Idriss Sultan

Kupitia mitandao yake ya kijamii Idriss “MOGUL” ameandika kuwa,”Mnakumbuka ile OSCAR niliyowaaambia nitachukua? Nitaichukua kwenye movie ya Mwalimu.”