Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Haya ndiyo magari anayopenda Mzee wa Upako

Alhamisi , 16th Feb , 2017

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye anapenda sana magari na katika magari hayo yeye anapendelea zaidi magari makubwa makubwa. 

Mzee wa Upako

 

Akiongea kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye ukurasa wa facebook wa EATV, Mzee wa Upako alisema kuwa hapendi kabisa "vigari vidogo vidogo" na kudai kuna gari hawezi kabisa kuendesha.

"Mimi napenda sana magari mazuri mazuri kwa sasa natumia gari aina ya V8 Land Cruiser ile kubwa kabisa. Napenda gari kubwa Benz, BMW, Land Cruiser zile kubwa kabisa hizi ndiyo gari nazopenda sana kwa hiyo hizo zingine inategemea naweza kuendesha maana wakati mwingine unaangalia na hali kama hali ikiwa mbaya basi unatembelea hata bajaji ila mimi napenda magari makubwa" alisisitiza Mzee wa Upako 

Pia hakusita kutaja aina ya gari ambayo hawezi kuendesha kuwa ni Vits "Kuendesha Vits hata siku moja siwezi, hivi vigari vidogo vidogo hivi hapana sitaki, yaani sipendi"

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali