Jumatatu , 23rd Oct , 2023

Gucci Mane amepigia mstari msemo wa 'Nabii hakubaliki kwao' baada ya kusema hauwezi kupata sapoti na upendo sehemu unayotokea au mji unaotokea mpaka ukiwa nje/mbali na unapotokea.

Picha ya Gucci Mane

Gucci Mane anasema sehemu unayotokea ni ngumu watu kuona kipaji chako au ku-push jambo lako tofauti na sehemu nyingine ambayo haujatokea kwa sababu ya wivu na chuki.