Picha ya Harmonzie na Rayvanny kushoto kulia ni Mkubwa Fella
Harmonize na Rayvanny wote wamewahi kupita lebo hiyo ya WCB na sasa hivi wanafanya kazi kwenye lebo zao.
Zaidi tazama hapa kwenye video Mkubwa Fella akizungumzia hilo.
Meneja wa wasanii WCB, Yamoto Band na TMK Wanaume Family Mkubwa Fella amewasifia wasanii Harmonize na Rayvanny kumaliza tofauti zao lakini amewaambia kuwa kuungana kwao bado hawamuwezi Diamond Platnumz.