Jumatano , 22nd Feb , 2023

Staa wa mziki nchini Harmonize ameibua mapya kwa kueleza kuwa hajaonja matunda ya mziki wake kwa zaidi miaka 7 iliyopita na hajui ni nani anayechukua pesa hizo kupitia Digital Platform.

Picha ya msanii Harmonize

Bonyeza hapa kutazama alivyozungumza kwa uchungu kuhusiana na suala hilo.