Jumatatu , 9th Jan , 2023

Staa wa filamu nchini Kajala Masanja ameshea matamanio yake ya kutaka kuwa mama tena na kupata mtoto wa pili ili awe mdogo wake na Paula.

Picha ya Kajala

Kajala ameshea hilo kwa kupitia 'Insta Story' yake akipost ujumbe unaosomeka "I think now ni muda sahihi wakupata mdogo wako dada Pau, hakuna kutumia P2 tena am ready to be a mother again".

Kajala alipata mtoto wake wa kwanza Paula na Producer wa mziki nchini P Funk Majani.