Jumanne , 21st Jun , 2022

Gigy Money amejibu kuhusu gumzo lake la kulishana cake mdomoni na baadhi ya mastaa walio-show love kwenye 'Birthday Party' yake kama Wema Sepetu, Lulu Diva, Amber Lulu na Mimi Mars.

Picha ya Gigy Money akilishana cake mdomo kwa mdomo na Wema Sepetu

Gigy Money amesema amefanya hivyo kwa sababu stick zilikuwa zimeisha pia kitendo hicho ni ishara ya upendo. 

Zaidi mtazame hapa Gigy Money akijibu hilo.