Jumanne , 15th Jul , 2014

Kichupa cha single mpya ya MwanaFA akimshirikisha msanii G Nako ‘mfalme’ uliofanywa na producer Nahreel unatarajiwa kuachiwa hivi karibuni kupitia stesheni mbalimbali nchini.

msanii Mwana FA wa Tanzania

MwanaFA ameongea na eNewz kuwa, video hiyo tayari imekamilika huku akisisitiza kuwa anataka kuuonyesha ulimwengu maana halisi ya Hip Hop ya kiafrika na jinsi waafrika wanavyoishi kupitia shooting ya video hiyo mpya 'Mfalme'.